Wednesday, May 30, 2012

TAIFA STARS YAKABIDHIWA BENDERA, WATAKIWA KULETA USHINDI

NAIBU Waziri wa Utamaduni na Michezo Mh, Amos Makala  akiongea na wachezaji wa timu ya taifa taifa stars wakati wa tafrija fupi ya kuwakabizi wachezaji hao bendera kwa ajili ya kwenda kuitangaza Tanzania nchini Ivory Coast ambapo wataondoka wachezaji 18 watakaocheza jumamosi ya wiki hii na timu ya Taifa ya Ivory Coast Makabidhiano hayo yamefanyika katika Hoteli ya Tanfoma jijini Dar es Salaam.

 Raisi wa TFF akiwatakia kila la heri Taifa Stars
 Kocha wa Taifa Star akiwaahidi watanzania kurudi na ushindi kutoka Ivory coast, kocha huyo alisema Mchezo ni Mgumu lakini wamejiandaa
 Baadhi ya wachezaji watakaokuwa kwenye kikosi kitakacho cheza j, Mosi
Naibu waziri akimkabidhi Bendera Juma kaseja ambaye ndiye Kapteni wa Timu hiyo