Mkurugenzi mtendaji wa Promosidor Bw, David Draude (katikati) pamoja na Meneja mkuu wa kampuni hiyo Bw, Lusaja Mkunza (kulia) wanaojishughulisha na kutengeneza bidhaa kama Cowbell, Onga Mchuzi Mix na Majani ya chai aina ya Chai Jaba wakizindua bidhaa mpya aina ya Sossi ambapo alisema kuwa bidhaa hiyo ni chakula kilichotengenezwa kwa mimea aina ya Soya anayeonekana (kushoto) ni Aloyce Kimaro Meneja masoko wa Kampuni hiyo . uzinduzi huo umefanyika leo katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa Promosidor Bw, David Draude akiongea na waandishi wa habari kwenye uzinduzi huo ambapo amesema pakiti moja ya Sossi itauzwa kwa shilingi 1000.
Kikundi cha sanaa Maarufu kama Swaga wakiburudisha katika uzinduzi huo