Monday, May 28, 2012

MRADI WA DART UKIWA KAZINI KUHAKIKISHA HAMNA FOLENI DAR

 Tingatinga likiendelea kufanya ukarabati wa barabara kwa ajili ya Mradi wa mabasi yaendayo kasi kama walivyokutwa na kamera ya Maasinda katika makutano ya barabara ya Shekilango na Morogoro road leo jijini Dar es Salaam.