Friday, May 18, 2012

SERIKALI YAPEWA SIKU 12 KUKAMILISHA MADENI YOTE YA WALIMU

(Picha na Evaline Shayo,)  Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania CWT  Mwl Gratian Mukoba akizungumza na Waandishi wa habari leo hii kwenye makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam, ambapo wameipa serikali siku 12 kuanzia leo ihakikishe imelipa madeni ya walimu yote   kiasi cha sh. Bil 13 ndani ya mwezi huu pamoja na kuwaongezea walimu mishahara kwaasilimia 100%.
Rais wa chama hicho akiendelea kusisitiza kauli yake.