Friday, May 18, 2012

H. BABA AWAPAGAWISHA WATEJA WA TIGO WILAYANI KARATU ARUSHA

f
 MSANII wa muziki wa kizazi kipya ,Hamis Baba maarufu kama H
 Baba(kulia) akiimba na kucheza na watoto waliojitokeza kwenye Kituo
 cha mabasi wilayani Karatu mkoa wa Arusha katika Bonanza
 lililoandaliwa na Tigo na kutoa zawadi kwa wananchi mbalimbali
 waliohudhuria.
Msanii Hamis Baba maarufu kama H Baba
 akiwapagawisha mashabiki wake kwenye Kituo cha mabasi wilayani(hawapo pichani)
 Karatu mkoa wa Arusha katika Bonanza lililoandaliwa na Tigo na
 kutoa
 zawadi kwa wananchi mbalimbali waliohudhuria.Picha na mpigapicha
 wetu