Saturday, May 19, 2012

SERIKALI YA TANZANIA IANGALIE SWALA HILI NA ICHUKUE HATUA.

 VIJANA wawili wakiwa wamebeba mizigo kwenye Baiskeli ya tairi tatu maarufu kama Guta ambapo wamejaza kupita kiasi jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao kama walivyokutwa na Kamera ya Maasinda kwenye barabara ya SAM NUJOMA Jijini Dar es Salaam kama serikali ikichukua hatua kwa watu kama hawa kutapunguza vifo vya kizembe vinavyopelekea kupoteza nguvu kazi ya taifa.
Mwalimu mkuu msaidizi Bw. John Msangi kutoka shule ya msingi Mapinduzi manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam akizungumza na Kamera ya Maasinda juu ya Serikali kukuza somo la Tehama katika shule za msingi ili kukuza vipaji vya wanafunzi wakiwa wadogo kusudi waweze kwenda sambamba na zama za Digitali.