Takataka zilizotupwa bila ya mpangilio maalumu katika kituo cha daladala Buguruni jirani kabisa na mtaro wa kupitisha maji ambapo takataka hizo zinasababisha kuziba kwa mitaro hiyo na maji kupita juu ya barabara uzembe huu unafanya na watu wa maeneo hayo. Hivi juzi juzi Meye wa manispaa ya Ilala alitangaza Rasmi kuwepo kwa kampeni ya kuweka Manispaa ya Ilala katika mazingira safi. Tukio hili limekutwa na Kamera ya Maasinda katika maeneo ya Buguruni Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.