Saturday, May 19, 2012

MWALIMU AKIFUNDISHA TEHAMA

Mwalimu Rajabu Mustafa kutoka shule maalumu ya Msingi Mapinduzi iliyopo Manispaa ya kinondoni jijini Dar es  Salaam inayofundisha Somo la Tehama akiwa kazini kuwaelekeza wanafunzi namana ya kutumia tecknolojia ya Compyuta.