MSANII wa Muziki wa kizazi kipya Maarufu kama Bongo Flavour Hamis Baba au H.baba akiwaburudisha wateja wa TIGO kwenye tamasha la tigo lililofanyika Tarakea Rombo hivi karibuni ambapo umati wa wateja wa Tigo walimwagika kwenye tamasha hilo.
MSANII H.BABA akicheza na watoto jukwaani wakati wa tamasha hilo ambapo wengi waliohudhuria kwenye tamasha walipata zawadi mbalimbali kutoka Tigo