Saturday, May 26, 2012

JIONEE MCHEZO ULIVYOKUWA

Mchezaji wa Judo kutoka CCP Polisi Moshi (wa juu) Bw, Kisamerwa Magangwa akiwa amemgeuza mshindani wake Bw, Mohammed Juma kutoka Magereza KMKM Ukonga jijini Dar es Salaam katika mchezo huo.