Rais wa Judo Tanzania Bw, Khalifa Kiumbemoto katikati akifwatila kwa
makini Mashindano ya Mchezo huo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Landmark
jijini Dar es Salaam wa kwanza kushoto kwake ni Mkurugenzi msaidizi wa
Wizara ya Habari na Michezo Bw, Charles Mattoke na wapili kushoto kwake
ni Mdhamini wa Mashindano hayo kutoka Germin Copperation LTD Bw, Yulliy
Tarverdyan. Katika Mashindano hayo Watanzania walionekana kushinda na
wachezaji kutoka Zanzibar.