ZOEZI la utekelezaji
wa mradi wa Vitambulisho vya taifa linaelekea kukamilika lakini kunachangamoto
zinazosababishwa na wafanyakazi wa Serikali wakiwemo Jeshi la wananchi Tanzania na Jeshi la polisi Tanzania wanaopelekea zoezi hilo
kutokukamilaka mapema kama ilivyopangwa.
Aidha alisema kuwa, wakati wkiendelea kufanya marekebisho ya
mfumo zoezi la usajili wa wananchi wa Dar es Salaam
baada ya miezi miwili na kuwa zoezi hilo
litatanguliwa na ujazaji wa Madaftari ya wakazi kabla ya kuanza kujaza fomu za
usajili.
“ Zoezi letu la usajili wa wananchi litaendelea kama kawaida
na mara hii tunategemea kuanza usajili
wa wananchi wa Dar es Salaam hivi karibuni”, alisema.