Viongozi mbalimbali akiwemo makamu wa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Gharib Bilal wakitoa salamu za mwisho kwenye harakati za kumuaga marehemu steven Kanumba.leo hii jijini Dar es Salaam.
Jeneza
lenye Mwili wa Marehemu,Steven Kanumba likibebwa kwenye Viwanja vya
Leaders Club,jijini Dar es Salaam leo hii.