|
Msanii Juacali kutoka nchini Kenya, Juma Nature, Fid Q,
Albert Mangwair na wengineo usiku wa Pasaka waliwarusha vilivyo wapenzi wa
burudani katika Tamasha la Pasaka Spesho
ndani ya Ukumbi wa maraha wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar es
Salaam, katika picha juu ni msanii Juacali kutoka nchini Kenya akiwapa burudani mashabiki waliofurika ndani ya
Ukumbi wa Dar Live siku ya Pasaka. | |
Msanii wa HIP HOP , Farid Kubanda "Fid Q"
akionyesha makali yake.
Watoto nao wakijiachia kwa raha zao.
Nyomi iliyokuwa inaipa sapoti shoo hiyo.
.Nature na kundi lake wakimwaga burudani jukwaani.