Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba wakati weatu wakiwa kwenye majonzi ya Kifo cha msanii wafilamu Tanzania Steven Kanumba Msanii Barnaba wa kundi la THT leo hii amepata mtoto wa kiume na kumpa jina la Marehemu Steven Kanumba.
Barnaba amefanya hivyo ili kumuenzi marehemu msanii huyo.