Mkurugenzi wa biashara na maendeleo ya shirika la nyumba Bw. David
Misonge (katikati) akiongea na waandishi wa habari leo katika hoteli ya
New africa jijini Dar es Salaam juu ya uzinduzi wa uuzwaji wa nyumba
katika mradi wake mpya wa mchikichi Ilala jijini Dar es Salaam na
ujenzi wa nyumba hizo ambazo zipo nyumba (48) unatarajia kukamilika
rasmi February 2013, ambapo alisema nyumba hizo zenye vyumba vitatu kwa
kila nyumba chumaba kimoja cha kulala cha kujitegemea na vyumba viwili
vinavyotumia choo kwa pamoja na alisema kila nyumba itauzwa kwa
shilingi,168,239,748.62 (bila vat) wakwanza kushoto ni Bw. Itandula
Gambalagi ambaye ni meneja masoko na utafiti na wakwanza kulia ni Bw.
W2illiam Genya Meneja Mauzo katika Shirika hilo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo.