Saturday, April 14, 2012

MWIZI AKAMATWA NA KUCHOMWA MOTO DAR

Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake akijaribu kuchochea moto ambao ulikuwa unamchoma jambazi sugu aliyekamatwa leo hii jijini Dar es Salaam