Monday, April 9, 2012

MATUMLA ALA KICHAPO CHA MANENO OSWARD

Bondia maneno Osward leo amenyakua Ngao ya pasaka baada ya kumpa kichapo kitakatifu Bondia mwenzake Rashid Matumla.

Mpambano huo uliandaliwa na ukumbi wa Dar live na mshindi ambaye ni Maneno Osward alichukua nago hiyo ya pasaka.

No comments:

Post a Comment