Monday, April 9, 2012

JINSI LULU ALIVYO HOJIWA NA POLISI ALISEMAJE? JE CHUMBANI KWAO KUMEKUTWA NINI?

LULU amekanakumsukuma kanumba kama ilivyo kuwa inadaiwa, Kamanda wa polisi wa kinondoni Charles Kenyela amesema kuwa wamefanikiwa kumuhoji lulu na lulu akakana kumsukuma Kanumba.

Kenyela alisema kuwa, Lulu alikutwa akiongea na simu na mpenzi wake huyo, Kanumba akahitaji kujua kuwa Lulu alikuwa anaongea na nani huku lulu akiwa anagoma kusema na kuanza kukimbia akihofia kupigwsa na kanumba.

Kenyela alisema kuwa, kanumba alianza kumkimbiza mpaka nje na kumrudisha ndani. wakaingia chumbani ndipo kanumba akafunga mlango,.

Baada ya hapo lulu alidai kuwa, alimyona Kanumba anajipiga kisogo chake ukutani na ghafla akaanguka na kuanza kutoa mapovu mdomoni.

Kamanda kenyela alisema kuwa walikuta pombe kali aina ya Jacky Daniel chumbani kwa Marehemu.

No comments:

Post a Comment