Monday, April 9, 2012

MANCHESTER KUSHIRIKIANA NA AIRTEL YALETA KOMBE BONGO

Mkurugenzi wa fedha wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania
Kalpesh Mehta(wa kwanza kushoto) na mkurugenzi wa dawati la ufundi wa
shirikisho la soka Tanzania Bw.Sunday Kayuni(wa pili kulia) wakifunua
kombe la ligi kuu ya uingereza katika hafla iliyoandaliwa na kampuni
yaAirtel  kwa wateja wake kuweza  kushuhudia kombe la ligi kuu ya
uingereza ambalo limeletwa   na timu ya manchester united kushirikiana
na airtel  nchini Tanzania, pamoja nao wa kwanza kulia ni Quinton
Fortune mchezaji wa zamani wa Manchester United na  wa pili kutoka
kushoto ni mchezaji wa zamani wa timu ya Manchester United Gary Bailey
,hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es
Salaam mwisho wa wikiendi hii.
Mkurugenzi wa fedha wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania
Kalpesh Mehta(wa kwanza kushoto) na mkurugenzi wa dawati la ufundi wa
shirikisho la soka Tanzania Bw.Sunday Kayuni(wa pili kulia)
wakifurahia  kombe la ligi kuu ya uingereza katika hafla iliyoandaliwa
na kampuni yaAirtel  kwa wateja wake kuweza  kushuhudia kushuhudia
kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa   na timu ya
manchester united kushirikiana na Airtel nchini Tanzania,pamoja nao wa
kwanza kulia ni Quint Fortune Quinton Fortune mchezaji wa zamani wa
Manchester United na  wa pili kutoka kushoto ni mchezaji wa zamani wa
timu ya Manchester United Gary Bailey ,hafla hiyo imefanyika katika
hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwishoni wa wikiendi hii.
Wachezaji wa soka wa timu ya shule ya Jitegemee sekondari  wakiwa
katika picha ya pamoja na kombe la ligi kuu ya uingerezal  katika
hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel
Tanzania kuwawezesha wateja wake kushuhudia kombe la ligi kuu ya
uingereza ambalo limeletwa   na timu ya Manchester United kushirikiana
na Airtel nchini Tanzania, pamoja nao pichani wa wa kwanza kushoto ni
Mkurugenzi wa fedha wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania
Kalpesh Mehta akifuatiwa na  mchezaji wa zamani wa timu hiyo Gary
Bailey, kutoka kulia  ni ni  mchezaj wa zamani wa timu ya Manchester
united Quint Fortune akifuatiwa na mkurugenzi wa dawati la ufundi wa
shirikisho la soka Tanzania Bw.Sunday Kayuni,    hafla hiyo imefanyika
katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi
hii.
Wanachezaji wa soka wa timu ya ya taifa chini ya umri miaka 17  wakiwa
katika picha ya pamoja na kombe la ligi kuu ya uingerezal katika hafla
fupi iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania
kuwawezesha wateja wake kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza
ambalo limeletwa na timu ya Manchester United kushirikiana na Airtel
nchini Tanzania, pamoja nao pichani wa wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi
wa fedha wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Kalpesh
Mehta akifuatiwa na  mchezaji wa zamani wa timu hiyo Gary Bailey,
kutoka kulia  ni ni  mchezaj wa zamani wa timu ya Manchester united
Quint Fortune akifuatiwa na mkurugenzi wa dawati la ufundi wa
shirikisho la soka Tanzania Bw.Sunday Kayuni,    hafla hiyo imefanyika
katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi
hii.
Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania na
wachezaji wa wastaafu wa timu ya Manchester United  wakiwa katika
picha ya pamoja na kombe la ligi kuu ya uingereza   katika hafla fupi
iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania
kuwawezesha wateja wake kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza
ambalo limeletwa   na timu ya Manchester united kushirikiana na Airtel
nchini Tanzania,hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency
Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi hii.

No comments:

Post a Comment