Monday, April 9, 2012

MALOPE AFUNIKA KWENYE TAMASHA LA PASAKA

 Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akiimba katika tamasha la pasaka linalofanyika kwenye uwanja wa taifa usiku huu, tamasha hilo limeanza tangu mchana na waimbaji wengi wameshaimba na kutoa burudani ya kutosha kwenye uwanja wa Taifa

No comments:

Post a Comment