Monday, April 9, 2012

Lulu haendi kumzika Kanumba

JESHI lapolisi mkoa wa Dar es Salaam limesema Lulu hawezi kwenda kumzika aliyekuwa mpenzi wake kwani si ruhusa kisheria.

Kamanda wa polisi mkoa wa Kinondoni Charles Kenyela amesema hayo hivi punde wakati akiongea na waandishi wa habari. 

No comments:

Post a Comment