Wednesday, April 11, 2012

LULU APELEKWA MAHAKAMANI

MSANII anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii mwenzake wa Filamu Steven Kanumba leo hii amepandishwa kizimbani kujibu shtaka la kuhusika na kifo cha msanii huyo Kanumba.