1)Mkuu wa chuo cha Uhalizi pamoja na ualimu Splended kilichopo Ilala
jijini Dar es Salaam bwana Cassim Taalib akihutubia wakati wa mahafali
ya 24 yaliyofanyika leo hii katika chuo hicho jijini Dar es Salaam.
2)Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora kwa sasa ni mstaafu bwana Abedi
Mwinyimusa ambaye ndiye mgeni rasmi katika mahafali hayo akihutubia
wanafunzi pamoja na wazazi waliokuwemo katiaka mahafali hayo ambapo
aliwataka wanafunzi kuwa na juhudi pindi wawapo kazini na pia kuwa na
nidhamu kazini.
3) Edda willbert(kushoto) na Havilla Helbert ambao ni wahitimu katika
mafunzo yao wakisoma risala ambapo walimtaka mgeni rasmi awasaidie
kupata vifaa vya kujifunzia ambapo walivyonavyo kwa sasa vimechakaa.
4)Mgeni rasmi ambaye ni Abedi Mwinyimusa(kulia) pamoja na mkurugenzi wa chuo Cassim Taalib wakiingia ukumbini.
5)Kikundi cha ngoma maarufu kama Safi Theater kikitoa burudani katika mahafali hayo.
6)Baadhi ya wahitimu wakifurahia siku hiyo ambayo ni historia katika maishayao.
7)Baadhi ya wazazi wa wahitimu waliohudhuria katika mahafali hayo.
9)Mgeni rasmi ambaye ni Abedi Mwinyimusa pamoja na mkurugenzi wa chuo Cassim Taalib wakiwa kwenye picha ya pamoja na wahitimu.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON