Monday, April 8, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA TAWI LA AKIBA COMMERCIAL BANK MKOANI DODOMA

  Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akifungua pazia ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa tawi la kumi nasita la Akiba Commercial Bank katika mkoa wa Dodoma kushoto kwa waziri mkuu nimkurugenzi mtendaji wa bank ya ACB anaye fuatia ni Kaimu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa bank ya ACB Bibi Elizabeth Minde na anaye fuatia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodom Mh Dr Rehema Nchimbi. (Picha na Chris Mfinanga)
 Waziri mkuu akipokea za wadi kutoka kwa kaimu wa bodi ya wakurugenzi ya ACB Bibi Elizabeth Minde
 Waziri mkuu akipokea za wadi kutoka kwa kaimu wa bodi ya wakurugenzi ya ACB Bibi Elizabeth Minde
Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi la kumi na sita la Bank ya Akiba Commercial Bank mkoani Dodoma wanao shuhudia kukulia kwa waziri mkuu ni Mkurugenzi mtendaji wa ACB bwana Jonh Lwande  kushoto kwa waziri mkuu ni mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh Dr Rehema Nchimbi anaye fuatia ni Kaimu wa bodi ya  wakurugenzi ya ACB Bibi Elizabeth Minde 

Kikundi marufu changoma ijulikanayo kwa jina la Mchoya kikiburudisha wakati wa uzinduzi wa tawi la ACB mkoani Dodoma

No comments:

Post a Comment