Waziri
Mkuu Mh Mizengo Pinda akipokea hundi ya shilingi Milioni hamsini kutoka
serekali ya mapinduzi ya Zanzibar kufuatia ajili ya gorofa 16
lilosababisha maafa tarehe 29 march 2013 jijini Dar es salaam hundi hiyo
imekabidhiwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi ndogo ya waziri mkuu Ostabey
jijini Dar es salaam. Picha na Chris Mfinanga.
No comments:
Post a Comment