Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage,
akizungumza na wanachama na mashabiki timu
hiyo, ambao walifika Makao Makuu ya klabu hiyo, Msimbazi jijini Dar es Salaam,
mara baada ya Rage kuwasili leo akitokea nchini India kwa matibabu. (Picha na
Francis Dande)
Mashabiki na wachama wa Simba wakilisukuma gari alilopanda Mwenyekiti
wa Simba, Ismail Aden Rage wakati alipowasili Makao Makuu ya klabu hiyo
leo akitokea India kwa matibabu..
Karibu Mwenyekiti wetu.
No comments:
Post a Comment