Monday, January 21, 2013

UKUTA WA UBUNGO STAND WAANGUKA NA KULETA HASARA KUBWA

Ukuta wa Kituo kikuu cha Mabasi Cha Ubungo jijini Dar es Salaam, ukiwa umeanguka alfajiri ya leo na kujeruhi wanne pamoja na kuharibu magari 24 ya watu

No comments:

Post a Comment