Baadhi ya Raia wa Dar es Salaam wakiwa wamesimama wengi katika Moja ya Sheli iliyopo Ubungo ili kujikinga na Mvua iliyokuwa inanyesha leo Asubuhi jambo ambalo ni hatari kwa Maisha yao kutokana na vyombo vya moto vinavyokuwa maeneo hayo na petroli ambapo mlipuko unaweza ukatokea muda wowote.
|
No comments:
Post a Comment