Saturday, December 15, 2012

NILIPOKULA NONDO YANGU JANA

Ni baada ya kuisotea kwa miaka kadha ambapo jana nilikabidhiwa rasmi nondo hiyo.Nina waaahidi wadau kukaa mkao wa kupata vitu motomoto na vya maana kupitia Maasinda baada ya kupata Elimu juu ya Online Journalism(habari Katika Mitandao).

Nipo na Wazee wangu William Kivuyo na Ester William, ambao kwa asilimia zote ndio waliosababisha mimi kufika hapa nilipofikia mungu awalinde mje kuona matunda ya mwanenu

Nipo na Mdau muhimu sana aliyenishauri katika masomo na kazi  Mr Msasanurinaye ni mmoja kati ya watu waliochangia maisha yangu.

No comments:

Post a Comment