Picha juu ni Baadhi ya nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika
eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala kama zinavyoonekqana leo
Desemba 13, 2012 baada ya kuzinduliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete
kujali mvua kubwa inayonyesha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua
kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali
imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala.
Bila kujali mvua kubwa inayonyesha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali
imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa walionufaika na hatua
ya serikali ya kujenga nyumba mpya 35 kwa ajili ya waathirika wa
mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya
Ilala leo Desemba 13, 2012. Mama huyu ambaye alipoteza mume, amejengewa
nyumba ya vyumba vitano pamoja na fremu ya duka.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment