Meneja
mradi wa kampuni ya simu za mkononi Tigo Bw.Yaya N'djore (katikati), akiongea na waandishi
wa habari kuhusu kuwapatia wateja wa tigo vifaa vya nishati ya jua
(SOLA)wanaoishi mbali na vyanzo vya umeme. Alisema kuwa wateja watakao faidika na huduma hiyo
ni wale wanaomiliki maduka ya Tigo pesa, vifaa hivyo vitakuwa vinapatikana
kwenye maduka ya Tigo kwa bei ya shilingi 50,000(kushoto)Afisa Masoko wa
Kampuni ya Simu ya Tigo, Jacqueline Nnunduma(kulia)Afisa mahusiano msaidizi
kampuni ya simu ya tigo Bi:Mariamu Mlangwa, mkutano huo ulifanyika jana kwenye
Hotel ya southern sun jijini Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment