Monday, November 12, 2012

MWIZI ANAEVIZIA WATU WANAPOTOKA ATM KUCHUKUWA PESA AKAMATWA

Askari wa Jeshi la polisi wakimpakia kwenye gari mtuhumiwa ambaye jina lake halukuweza kufaamika aliyetuhumiwa kwakumtapeli kijana mmoja shilingi laki 2 alipokwenda kutoa pesa kwenye mashine ya ATM makao makuu ya benki ya posta yalioko barabara ya azikwe jijini Dar es salaam.

Huyu ndiye kijana aliyekamatwa na Askari hao

Kijana huyo akihojiwa na Askari

No comments:

Post a Comment