Monday, November 19, 2012

MCT YAFANYA ZIARA KWENYE GAZETI LA DIRA

Mkurugenzi wa kampuni za Msama, Alex Msama akifurahia jambo la Rafii Makame katikati ni Jaji Mihayo.
Meneja wa Maadili na Usuluhishi wa MCT, Allan Lawa akitoa ufafanuzi kwa wafanyakazi wa kampuni ya Dira News paper Mwenyekiti  wa  Baraza  la  Habari  Tanzania  (MCT)  jaji  Thomas  Mihayo   (mwenye suti nyeusi)  akiwa katika  picha  ya  pamoja  na wafanyakazi wa  kampuni za Msama alipotembelea  katika ofisi  hizo  mwishoni mwa wiki.Mkurugenzi wa kampuni za Msama, Alex Msama (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT).  Kushoto Allan Lawa, jaji Thomas Mihayo, kulia Magdalena Thomas na Rafii Haji Makame. (Picha  na Yohana Silas)



Wafanyakazi wa kampuni za Msama wakiwa pamoja na viongozi na watendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT).

Alex Msama katikati akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa MCT wakati ulopotembelea ofisi za kampuni ya Dira News Paper hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment