Maharusi Mr & Mrs Sunday Demonte(Kushoto) wakiwa katika pose nyumbani kwa Salma Mgido mapema leo wakipat chakula cha mchana walipo karibishwa kwa Mwanadada Salma Mgido Mjini Dubai. kulia ni Mwigizaji wa Bongo Movie Ray.
Baada ya Msosi hawa ndio Maarusi Mr & Mrs Sunday Demonte wakiwa katika pozz na mtoto aliyekuwa maeneo hayo
Ray anshuhudia Aunty Ezekiel na Mumewe Mr Demenet wakikata ndafu
No comments:
Post a Comment