Saturday, November 17, 2012

MAMA MZAZI WA ANETH ALIYEKATWA MKONO AWASILI JIJINI MBEYA KUMUONA MWANAYE MACHOZI YAMWAGIKA NA KUSHINDWA KUONGEA CHOCHOTE KUHUSIANA NA SAKATA HILO

Huyu ndiye mama Mzazi wa Mtoto aliyekatwa mkono baada ya mkono wake kuharibika kutokana na kumwagiwa maji ya moto na mama yake Mdogo.

Aneth aliyekatwa Mkono ndio huyu anaonekana kuendelea vizuri

Hapa akilishwa chakula wakati mama yake kulia akimwangalia kwa machungu

Pole sana Aneth

No comments:

Post a Comment