Sunday, November 18, 2012

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM ALAKIWA NA UMATI WA WATU

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Bw Madabida na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe Philip Mangula na mkuu wa mkoa huo Mhe Said Mecky Sadik jana jijini Dar es salaam baada ya kurejea akitokea Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kabla ya hapo Dkt. Jakaya Kikwete alichaguliwa na wana CCM kuongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Bw Madabida na mkuu wa mkoa huo Mhe Said Mecky Sadik

Jk akilakiwa na umati wa wana CCM

No comments:

Post a Comment