Friday, November 9, 2012

LEO NI LEO EBSS

Hawa ndio Baadhi ya washiriki walioingia Top 5 wa EBSS 2012 wakiwa pamoja na Vannesa Mdee pamoja na Ceasar Daniel usiku huu ambapo atapatikana mshindi wa kinyan'ganyiro hicho ambapo ataondoka na Milioni Hamsini.

No comments:

Post a Comment