KIBAKA ANUSURIKA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUMTAPELI FUNDI MAGARI SHILINGI LAKI MBILI NA NUSU
Kijana ambaye hakuweza kufahamika kwa urahisi jina lake anayedaiwa kuwa ni Tapeli aliyemtapeli Fundi Magari akiwa amewekwa Chini ya Kundi la watu wenye Hasira kali wakitaka kumchoma huku wakiwa wameandaa Tairi la kumchomea. Tukio hilo limetokea jana jijini Mbeya.
"Jamani naombeni Mnisamee Msinichome naahidi kurudisha Fedha zote nilizozichukua nisameheni Nduguzangu" Maneno ya Tapeli huyo.
No comments:
Post a Comment