Kuna taarifa zilizotufikia kuwa kuna mkakati unaopangwa na waislamu wa kuandamana nchi nzima katika mkoa Yote.
Naibu mwenyekiti wa jumuiya ya waislam anafanya maandalizi ya maandamano
ya waislam Tanzania nzima siku ya ijumaa.
Amesema kuwa lengo la maandamano hayo ni pamoja
na kushinikiza viongozi wa BAKWATA watoke madarakani.
Mwenyekiti huyo ameongeza kuwa kuna sababu nyingine zinazowapelekea wao kuandamana ambazo hakuzisema katika redio ya BBC leo.
habari hii ni kwa hisani ya Mtandao