Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Maarufu zaidi kama "Rais wa Mbeya",
Mwanaharakati wa Utetezi wa Haki za Wanamuziki na Mwanamuziki Mkongwe wa
Muziki wa Kughani wa Kitanzania Bwana Joseph Mbilinyi "Mr 2/Too
Proud/Sugu" (Katikati mwenye Kofia) akiwa na Maswahiba zake miaka kadhaa
Nyuma.
|