Wednesday, October 17, 2012

WAFUASI WA PONDA WAKUSANYIKA POLISI WAKITAKA KIONGOZI HUYO AACHIWE

Kuhusiana na Taarifa kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda kukamatwa ni kweli na Imethibitika na leo hii waumini wa dini ya Kiislamu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Sheikh  huyo walikuwa makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam wakitaka Kiongozi huyo  aachiwe baaada ya kukamatwa usiku wa kuamkia Leo jijini Dar es Salaam,