Thursday, October 11, 2012

TRADITION VOLLEYBALL YA KIHINDI YAENDELEA JIJINI DAR


Mashindano ya Mpira wa Mikono kutoka katika Tamaduni za Kihindi(Tradition Volleyball) yanaendelea jijini Dar es Salaam ambapo jana usiku kulikuwa na mashindano ya Nusu fainali ambapo fainali zitachezwa kesho kuanzia saa mbili usiku katika viwanja vya wahindi vilivyopo Posta jijini Dar es Salaam.Michuano hiyo imedhaminiwa na Balaji Fragrance LTD iliyopo jijini Dar es Salaam.

Timu zikiwa uwanjani jana usiku

Mchezaji akitoa mpira baada ya kufungwa