Thursday, October 25, 2012

SITTA AHAIDI ELIMU ZA TANZANIA KUWA SAWA NA ZA NCHI ZOTE ZA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mh, Samuel Sitta (kushoto) akiwa na Kaimu mkuu wa Chuo kikuu huria cha Dar es Salaam Pprf,Elifas Bisand kulia wakati wakielekea katika ukumbi wa Chuo hicho ambapo ndipo palipo fanyika mkutano wa wa sehemu ya maadhimisho ya miaka 20 ya chuo hicho ambapo Samuel Sitta alikuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo.

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mh, Samuel Sitta akizungumza katika Maadhimisho haypo ambapo amesema kuwa Serikali inampango wa kuhakikisha kuwa Elimu ya Tanzania inalingana inakwenda sambamba na Elimu ya nchi zote za Afrika Mashariki baada ya Maboresho ya Elimu katika vyuo vyetu.

Baadhi ya wadau mbalimbali waliokuwemo kwenye warsha hiyo wakisikiliza kwa makini yaliyokuwa yanasemwa leo

Mgeni rasmi akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Chuo hicho.