Katibu
wa bakwata Mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarimu Jonjo akiugulia maumivu
katika wodi ya majeruhi ,katika hospitali ya mkoa mount Meru baada ya
kulipuliwa na bomu la kutupwa na mkono akiwa amelala usingizini nyumbani
kwake na watu wasiofahamika majira ya saa 6.30 usiku wa kuamkia leo.
Picha na Josefu Ngilisho. |