Tuesday, October 16, 2012

SHEIKH ISSA PONDA AKAMATWA NA POLISI DAR

Kunataarifa nimezipata hivi punde kuwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislamu nchini Mwanaharakati Sheikh Ponda Issa amekmatwa usiku wa kuamkia Leo akiwa Katiaka Msikiti wa Temeke Jijini Dar es Salaam kWA Mujibu wa Mtanda wa Jamii Fourum ni kwamba Sheik huyo ndiye aliyewashawishi waislamu kwenda kuchanachana biblia, na kufanya uharibifu Makanisani katika Vurugu za Mbagala. Tutaendelea kukupa Taarifa za Uhakika zaidi baada ya Muda kidogo kwani nimejaribu Kupiga simu kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Suleiman Kova, ili niweze kuthibitisha lakini simu yake Imezimwa.

Habari hii kwa Msaada wa Mtandao