Thursday, October 11, 2012

RIPOTI YA MV SKAGIT YAKABIDHIWA KWA RAIS WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Ripoti ya Tume ya kuzama kwa meli ya Mv

SKAGIT,kutoka Mwenyekiti wa Tume kuchunguza ajali ya meli hiyo Jaji

Abdulhakim Ameir Issa,Ikulu Mjini Zanzibar leo.

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) alipokuwa akizungumza na

wajumbe wa  Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv SKAGIT,iliyoongozwa na

Mwenyekiti wa Tume   hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa,walipofika  Ikulu

Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akisikiliza Ripoti ya Tume ya kuzama kwa
Meli ya Mv SKAGIT,iliyosomwa na  Mwenyekiti wa Tume   hiyo Jaji
Abdulhakim Ameir Issa,alipofika na ujumbe wa tume hiyo Ikulu Mjini
Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]