Sifa mojawapo
kubwa ya gari hilo la kisasa ni kasi yake ya kuchanganya mwendo kwani
linapowashwa tu, huwa na uwezo wa kufikia spidi ya kilomita 100 kwa saa baada
ya muda mfupi wa sekunde 3.1.
Ronaldo alionekana juzi katika maeneo ya kwao, Lisbon nchini Ureno ambako
amekwenda kuungana na wenzake katika kambi ya kikosi cha timu ya taifa ya
Ureno.
Mbali na gari hilo jipya (McLaren MP4-12C Spyder) Ronaldo pia anamiliki magari
kadhaa ya kifahari likiwamo aina ya Lamborghini Aventador LP700-4.
|