Wakati wa mchana katika kijiji cha TASSIA, EMBAKASI NAIROBI jamaa mmoja ailiyekuwa anatembea a Mke wa Mtu amejikuta katika hali ya Utata baada ya Kukwama (yani mwili wake na umenasa na kukataa kuachiana
na mwili wa MKE WA MTU) walipokuwa wanajiburudisha.
Mwanaume huyo anadaiwa kutoka katika jamii ya wakisiti wakati na mwanamke akionekana kuwa na asili ya jamii ya wakamba.
Imeelezwa kuwa, baada ya stori kuendelea sana
kwamba Mwanaume huyo anatabia ya kutembea na Mwanamke wa watu Mume wa Mwanamke huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika alichukua uamuzi wa kwenda kwa Mganga ili amfunge
mke wake asiweze kufanya mapenzi nje ya ndoa.
Inasemekana kuwa aliambiwa na mganga endapo mke wake atafanya mapenzi nje ya Ndoa basi atakwama,
kwa maana kwamba mtu yeyote atakae ingia kwenye mtego, mwili
wake hautoachana na mwili wa mwanamke huyo, itashikana na aibu iwakute.
Kwa kuwapa uhakika zaidi kuhusiana na habari hii nimewaletea link ali kila mtu anayetaka kuangalia jinsi ilivyokuwa aamue mwenyewe kama ataangalia au ataacha ila naomba radhi kwa kuweka link hii nimeweka ili iwe fundisho kwa wale wenye tabia kama ya huyu jamaa.
http://www.google.co.tz/url?sa=t&rct...-HVYWrlQhIk-AA