![]() |
Mwili wa marehem Mwadhama Kardinal Laurean Rugambwa ukiwa kwenye jeneza |
![]() |
| Ndani ya kanisa muda mfupi kabla ya Ibada |
![]() |
| Gari lililokuwa limebeba maiti ya Mwadhama Kardinal |
![]() |
| Baba Askofu msaidizi wa kanisa katoliki jimbo la Bukoa |
![]() |
| Baadhi ya viongozi waliohudhuria |
![]() |
| Baadhi ya waumini waliohudhuria |
![]() |
| Wacheza ngoma nao walikuwepo |






